News

PONGEZI KWA RAIS WA SITA WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Pongezi kwa Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Tunakutakia kila la kheri kwenye majukumu yako ya kuijenga Tanzania