News

TANSHEQ LIMITED INASHEREHEKEA SIKUKUU YA WAFANYAKAZI

Ikiwa ni kipindi kingine cha wadau wote wa sekta ya ajira duniani kusherehekea sikukuu ya wafanyakazi duniani. Menejimenti ya Tansheq Limited inapenda kuwatakia Heri kwa wafanyakazi wote duniani kwa siku hii .Pia Tunaendelea kuwakumbusha watanzania wenzetu kuendelea Kujikinga na kuombea Taifa dhidi  ya Janga hili la Virusi vya Corona